Computer4Sale Macbook for sale

Topintz

Senior Member
Aug 2, 2013
166
656
MacBook Pro
Processor 2.5GHz
intel core i5
Ram 4GB 1600 Mhz DDR3
Graphics intel HD graphics 4000 1536 MB
Internal storage 500GB

Price 1.7m TShs.

WhatsApp Image 2017-01-29 at 18.04.16(1).jpeg
WhatsApp Image 2017-01-29 at 18.04.16.jpeg
WhatsApp Image 2017-01-29 at 18.04.17(1).jpeg
WhatsApp Image 2017-01-29 at 18.04.17.jpeg
 
Iv mnatoaga wap hizi bei, au nyie wenzetu ni wakazi wa nchi gani kwa maana hiz bei haziendani na mazingira halisi ya nchi yetu. sisi ni wale tunaoishi kama mashetani au nyiinyi wenzetu mmewalenga hasa wale kama malaika. ni vema mkiweka bei zenu katika rate ya TSHs, badala ya hizo kwacha
 
Mkuu swali lako hata sielew nianzie wapi kujibu maana naona kama umeliuliza kwa hasira zaidi kuliko akili ya kawaida iliyotulia. Anyways kuhusu bei hiyo ni bei ya kawaida , kama unajua vifaa vya electronics especially MacBooks basi kwa specs hizo na bei hiyo ni price ya kawaida tu. Ikiwa mpya hiyo inauzwa almost 2.5millions(shilingi za kitanzania).
 
Ivi umesema Laptop au?
Mbona kama sielew, kama ni laptop inaukubwa wa mita ngapi je ni 100*100 au umepima kwa hatua.
Utofaut wake na hii yangu latitude dell ni up
Je ukitumia hiyo au fail mitihani au haukosi kazi
Au ukitumia mshahara unakua maradufu
au inatumika kwa matumizi gani,
Kulimia
Kusaga
Au inaongeza nguvu za kiume
Au inatakasa dhambi zako
Au ukitumia hauzeeki
 
doh! Wewe huna ndo mana wasema hayo lakini wenye uwezo wa kuwa nayo hawaulizi maswali yote hayo. Mbona iPhone 7 na 7+ zinarange 1.5 mpaka 2.7millions Tsh? Na hiyo ni cmu tu za Apple sio laptop. Mkuu kubaliana tu na hali yako ya maisha waachie wenye hali tofauti na wewe wafanye biashara.
 
Bila shaka wewe ndio uliendikiwa hiki kitabu basi mpigie mfanye biashara
Maana wanasema kitabu husicho kielewa hujaandikiwa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom