Hawana mawazo na mipango sahihi, kila siku wanaambiwa na kushauriwa pandeni miti ya matunda huko maporini na kila nyumba, wananchi wahamasishwe na kugawiwa miti ya matunda wapande angalao mitatu au minne lakini bado wanapanda na kugawa miti ya misonobali, mikambokambo, mikaratusi, miarobaini, minsumbi n.k., hawabadiliki