Ila hao jamaa hawana tofauti na trafic kwakweli, walienda kwenye lodge ya home wakapekua weeeee hawakukuta tatizo ila kuna kaufa kapo mlango mkubwa wa kuingia na kutoka wakaanza kukomaa na hako kaufa na kutoza faini laki moja... Jamaa ni wapuuzi sana ila bro wangu mkubwa akawakomalia kua fine hailipwi hela hiyo la sivyo tufunge biashara na walivyoona jamaa yupo serious kua tunafunga biashara tutengeneze vyumba vya wapangaji wa kawaida ndio wakawa wapole na kumsihi biashara isifungwe
Sent using
Jamii Forums mobile app