Mabush STARS

Mh enzi sana...kipepe....lodi lofa....
Lodilofa aliwahi kukuta Bush Star na Born Town wanacheza mechi sasa kufika akawa haelewi kwanini watu 22 wanakimbiza mpira mmoja. Akaenda dukani akanunua mipira yakutosha akaja kuwagawia kila mchezaji mpira wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…