Kila wilayaHao Maboto wako mkoa gani?
Mkuu wengine wanakuwa washakopa benki zoote na kukosa sifa ya kukopa benki.Na wewe ubadilike sasa! Yaani mpaka karne hii ya 21 bado unakopa Maboto, Bayport, Diamond Platinum! Kwa nini usiende NMB, CRDB, TPB, NBC, nk?
Aliyepewa Jimbo la Bulaya a k a covid 19Hivi hiyo taasisi ni mali ya mbunge yupi jamani?
Ninachojua kuwa ni mwenyewe ni mkurya
Ubarikiwe sana kamandaAliyepewa Jimbo la Bulaya a k a covid 19
ahaa ukiangalia ndo unaenda kuwalipa auBalance hauombi. Unaangalia tu kwenye app kiganjani.
Asee Hawa jamaa ni shidaaaaaa asikwambie mtu. Tafadhari usije kumshauri hata nduguyo rafiki jirani au awaye yeyote kuingia kwa Hawa jamaaaa. Hawafaiiiii in deed. Walichonifanyia sitasahauNaomba wenye namba na masiliano makoa makuu Maboto Micro finance, atusaidie...
Itakua iringa mufindi pia mkuranga wapo Hawa watuHao Maboto wako mkoa gani?