Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 13, 2014 #1 wakate viuno na vikaptura vya, lakini hakuna hata mmoja anayeweza kupiga show kama hii nchi za watu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Aug 13, 2014 #2 Mnanda huo, wacha weee
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Aug 13, 2014 #3 Walifunika sana, kuna tofauti na zile shoo zetu za varandani na za kwenye vilabu vya pombe, hii wamewakilisha
Walifunika sana, kuna tofauti na zile shoo zetu za varandani na za kwenye vilabu vya pombe, hii wamewakilisha
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Aug 13, 2014 #4 Nimeipenda sana hii!
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 13, 2014 Thread starter #5 Sio wale wengine wanajisifu kila siku eti washafanya show nchi tofauti, ukiona video zao ni maandazi matupu. Hakuna hata mmoja aliyefikia moto huu wa masela wa uswahilini, hapo kazi kazi tu sio umevaa kijinzi cha dada ako unakata kata viuno.
Sio wale wengine wanajisifu kila siku eti washafanya show nchi tofauti, ukiona video zao ni maandazi matupu. Hakuna hata mmoja aliyefikia moto huu wa masela wa uswahilini, hapo kazi kazi tu sio umevaa kijinzi cha dada ako unakata kata viuno.
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,062 Reaction score 3,620 Aug 13, 2014 #6 hii ndo shoo
Django JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 354 Reaction score 147 Aug 14, 2014 #7 Hii imekaa vizuri na fundisho zuri sana kwa wabana pua wa hapa bongo
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Aug 14, 2014 #8 hili kundi litafika mbali kama wataendelea na nyimbo za asili yetu , hawa wanajitambua. wanafuata nyayo za tatunane. Salamander said: wakate viuno na vikaptura vya, lakini hakuna hata mmoja anayeweza kupiga show kama hii nchi za watu. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hili kundi litafika mbali kama wataendelea na nyimbo za asili yetu , hawa wanajitambua. wanafuata nyayo za tatunane. Salamander said: wakate viuno na vikaptura vya, lakini hakuna hata mmoja anayeweza kupiga show kama hii nchi za watu. Click to expand...