Mabomu yarindima Bukoba

Joined
Apr 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Mabomu ya gesi yamerindima kwa dakika kadhaa nje ya kituo cha Polisi Bukoba baada ya kundi la waendesha pikipiki kuandamana wakitaka kumshughulikia mtu anayedaiwa kuwa mwizi sugu wa pikipiki.Taarifa za majeruhi hazijapatikana

 
Nao wale wote wanaoiba piki piki (boda boda) za wenzao na 'WAPIGWE TU, TENA NASEMA WAPIGWE SANA TU"
 
Big up boda boda wa bukoba hebu mtoeni police mkamuue,la sivyo ataachiwa na atarudi kuwaibia
 
Wanataka kujichukulia sheria mikononi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…