F FJM JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 8,081 Reaction score 6,203 Mar 17, 2012 #21 Bila kupata barua ya salamu toka kwa Occampo Polisi wa Tanzania watamaliza watu.
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,143 Reaction score 7,403 Mar 17, 2012 #22 Angel Msoffe said: habari yako mwita25? Click to expand... kumbe karudi kivingine..
M massai JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 653 Reaction score 137 Mar 17, 2012 #23 mbona huyo mmakonde b.w.e.g.e sana,akubali tu kua yu mjinga kwani hakuna mwenye akili timamu anaweza poromosha matusi jukwaani kwenye halaiki ya watu.
mbona huyo mmakonde b.w.e.g.e sana,akubali tu kua yu mjinga kwani hakuna mwenye akili timamu anaweza poromosha matusi jukwaani kwenye halaiki ya watu.
K Kagalala JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 2,403 Reaction score 1,134 Mar 17, 2012 #24 Kama kaambiwa mjinga na hana akili kwani katukanwa au kaambiwa ukweli!
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Mar 17, 2012 #25 mopaozi said: Wamemtukana na han/QUOTE] sasa tusi liko wapi hapo? Kuambiwa ukweli siyo tusi mkuu Click to expand...
mopaozi said: Wamemtukana na han/QUOTE] sasa tusi liko wapi hapo? Kuambiwa ukweli siyo tusi mkuu Click to expand...
Sungurampole JF-Expert Member Joined Nov 17, 2007 Posts 984 Reaction score 206 Mar 17, 2012 #26 mopaozi said: Wamemtukana Ben Mkapa kuwa ni mjinga na hana akili! Click to expand... acha uongo!!!
KASHOROBANA JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,241 Reaction score 964 Mar 17, 2012 #27 Duh masikini tanzania yetu, magamba wanalazimisha kuitawala kibabe ata km hatutaki watutawale, aya bana
Duh masikini tanzania yetu, magamba wanalazimisha kuitawala kibabe ata km hatutaki watutawale, aya bana
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 Mar 17, 2012 #28 Angel Msoffe said: Hata walipue mabom lazma kieleweke Click to expand... Huu msako ni mpk 2015 mlango kwa mlango! Hizo vibomu ni cha mtoto wangenyanyua magrunet! FFU SIJU HUU UTUMWA WAACHA LINI!
Angel Msoffe said: Hata walipue mabom lazma kieleweke Click to expand... Huu msako ni mpk 2015 mlango kwa mlango! Hizo vibomu ni cha mtoto wangenyanyua magrunet! FFU SIJU HUU UTUMWA WAACHA LINI!
J Juma Bundala Member Joined Mar 9, 2012 Posts 71 Reaction score 5 Mar 17, 2012 #29 Nzagamba Yapi said: Nayashudia hapa niko mafichoni,uchaguzi wa madiwani kirumba,ni vita vya cdm na magamba,ntaendelea kuwapa updates,dk slaa yupo pia Click to expand... Endelea kutupa hbr,hatutaki MAGAMBA ktk uongozi
Nzagamba Yapi said: Nayashudia hapa niko mafichoni,uchaguzi wa madiwani kirumba,ni vita vya cdm na magamba,ntaendelea kuwapa updates,dk slaa yupo pia Click to expand... Endelea kutupa hbr,hatutaki MAGAMBA ktk uongozi