Mabomu ya machozi yanarindima Kirumba Mwanza

Jamani wadau ,mwenye taarifa za mwanza juu ya fujo zilizotokea maeneo ya Kirumba na kusababisha mabomu n Risasi kumwagwa kuhusiana na Purukushani kati ya CCM na CHADEMA jioni hii .
Hebu atubwage kwenye tukio tupate habari kujua.
 
Nayashudia hapa niko mafichoni,uchaguzi wa madiwani kirumba,ni vita vya cdm na magamba,ntaendelea kuwapa updates,dk slaa yupo pia
wanalipua mabomu ili wapate upenyo wa kuiba na kukimbia na mabox ya kura
 
Asante Nzagamba na Mwitah Kwa kutuupdate,Hebu endeleeni kutupa data ........
 
Hakika askari wetu ni condom zinazotumiwa na magamba na kutupwa!
 
Amani yakweli haiji ila kwa ncha ya upanga
 
Uzi huu tayari upo jukwaani sasa hivi, peruzi utauona!
 
Magamba wanakufa kifo kibaya sana. Hata wanywe ARV's watakufa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…