kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 151
watadhibitije wakati serikali ilipitisha muswada wa hivi vyombo ktumika kam ambulance vijijini? hapo ndio watajua haki sawa kwa wote ni nini.Mmmh!mbona kama wanakuja juu sana?nafikiri kuna jambo la kufanya kuratibu aina hii ya usafiri ambao umeshamiri kwa sasa Tanzania nzima!
Eneo la bombambili songea kinanuka saizi ni baada ya polisi kukamata pikipiki kama 200 afuunaambiwa kosa utalijua kituoni.
Bodaboda wameamua kuchoma matair ya gari barabarani pale mteremkoni kama unapanda kwa mkuu wa mkoa

mkuu tupe updates mana tuna mali zetu huko