Huu ujinga wa kupiga mabomu watoto wetu hivi hao polisi hawana watoto? Usikute baadhi yao wana watoto wanaosoma hapohapo lakini watafuata amri bila kujishauri.
Hivi matuta hadi tuandamane ndio Manispaa wanajua kuwa eneo hilo lina shule?
jana ilikuwa Mbagala kizuiani, leo G/ Mboto jamani uhai wa mtu hauna sipea. adhabu kali zaidi kwa wanao sababisha ajali