Mabomu wanayojitengenezea CCM

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,672
Reaction score
89,547
Kuwasomesha watu elimu ya kuajiliwa huku wakihitimu wanawahimiza wajiajiri!

Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo imekuwa tafrani kiasi kwa wengine inawabidi warudi nyumbani au wahairishe kabisa. Mgombea wao kutaka wabunge wa chama chao wateuliwe huku akitio kauli kuwa watu wasipomchagua mgombea husika basi hawataletewa maendeleo!

Chama kilichotawala miaka yote ya tangu tumepata uhuru takribani miaka 60 hivi sasa, bado wanahubiri shida za maji tena hata ktk kanda za ziwa!, bado kilimo ambocho ni uti wa mgongo hakija kaa sawa!, elimu nayo bado kizungumkuti n.k

Serikali ya CCM kutokujibu wapinzani yanayowakuta mfano kupotea kwa ben saanane. Viongozi wao kuwa na kauli za kibabe ama zisizofaa mbele ya wapiga kura!

Kutatua matatizo yazamani ambayo ni serikali ya haohao walitawala na kubariki matatizo hayo.. mfano mikataba mibovu ya madini. Naishia hapo ila cha mwisho nchi hii itakuja kuokolewa na wasomi makini bila kujali watatoka chama gani.
 
Ccm yenyewe bomu la uharooooo.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Mtangazaji ; mwl kashasha unazungumziaje suala ili la wito wa Lissu kwa wajomba kusitishwa

Mwl kashasha ; kitaalam hii inaitwa intermingle infrastructuare and flyover together with ndege without good living standard of the people is nothing and this can imangulate operando like fangle 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…