Msameheni jamani, watu wengine vichwa vyao ni shek wel b4 uz, mi sijaona logic ya anachopresent. Ingekuwa vp siku angeugua halafu mwingine anamletea jokes juu ya ugonjwa anaougua?.
Msameheni hajui kama amekosea bado mdogo baba yake ndio kamrejesta humu kwenye jamvi
na wewe inabidi utuombe radhi watu wa lugha hapo red. ilitakiwa isomeke "wahanga"kijana wahangwa hatufurahii kiukweli !!!!!!!!!
nakushauri uombe radhi
na wewe inabidi utuombe radhi watu wa lugha hapo red. Ilitakiwa isomeke "wahanga"