KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Ndugu wana Jamii kama unavyojua hali ya kiusalama hapa nchini kwetu imekuwa siyo ya kuridhisha japo siyo ya kutisha!Nikianza na miji ya Zanzibar hadi Arusha!
Kuhusu Zanzibar, tumekuwa tukishuudia matukio ya kikatili na mauaji ya viongozi wa dini za kikiristo na kiislamu kuuwawa hata nyumba za ibada kuchomwa moto kulipua mabomu,kuwamwagiana tindikali hasa wageni wanaotembelea Zanzibar! ukweli vyombo vya Usalama kama vimeshindwa kupata dawa ya kukomesha uharifu huu na zaidi kujua ninani anatekeleza uharifu huo!Ukizingatia zanzibar ni sehemu ya utalii.
Arusha nayo kumeibuka swala la kushambulia sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi kwa kutumia mabomu! kitu ambacho mpaka sasa ni kizungu mukuti!Tukianza na tukio la kanisani na la mkutano wa CHADEMA na la juzi kwenye mgahawa!
Ukichunguza kwa makini huarifu huu unafanana kwa ukaribuzaidi ukianza na la Zanzibar na Arusha wamelenga sehemu zinazotembelewa na raia wa kigeni, pili kwenye Nyumba za Ibada kwakutambua kuwa salamu zitasambaa kwa uharaka kwa nchi nyingi duniani! kuwa saa Tanzania si sehemu salama tena.
Nadhani sasa kuna sababu kujiuliza kwa nini Zanzibar na Arusha??Hii si kisiasa tena hii ni mipango ya kiuchumi ukiangalia kwa umakini unakuta matukio haya tunayoyaita ya kigaidi yana mkakati wakudididmiza sehemu ya utalii!Kwani kwa sasa sehemu iliyokuwa salama ni Tanzania kwa ukanda wa Afrika na Mashariki ndiyo maana inalengwa miji ya kitalii, hivyo serikali haina budi kuliangalia kwa umakini na kwa undani zaidi, hili kuinusuru nchi yetu na uchumi wetu pia kwani yawezekana ikawa ni mipango ya watu wanaotaka kutukwamisha kiuchumi hivyo siswala la kubeza!
Ukiangalia wenzetu Kenya hali si shwari tena hivyo kuna kila sababu ya kuangalia hili swala kwa mapana zaidi.