Mabinti wa siku hizi!


poor analysis!
 
Sijui ninyi watu mnatakaga nin??? Yaani mtu unataka kumzinzi mwenzio penzi lenyewe la hata halina muda, sijui mkoje nyie.
 
Mwache hivyo hivyo mpaka Lowassa aapishwe mzigo utapata bila shida
 
kumbe mademu wasumbufu hivyo kutoa bikra mpka aruke ruke kama panzi
 

Kwahiyo kwa kifupi unamaanisha kwamba:-

Unahitaji kumshawishi binti wa watu aweze kuvua nguo zake zote na abaki uchi,kisha nawewe ubaki uchi na kwa Makusudi kabisa mfanye UASHERATI, nakuvunja Amri ya sita huku ukijua Mungu hapendi.NDIO UNAMAANISHA HIVYO?
 
Ushafikia kiss..... Mbona ndo ongoing process.... Umeshindwa nn
 
Acha uasherati we mtoto kwani nyie wote ni watoto. Fanya ibada kila wakati kwani naona pepo wa ngono anakunyemelea

Mmmh wewe nae. Waache wenzio wale raha. Kwani wewe haufanyi mapenzi?
 
Hiyo papuchi unaombea nje au ndani? Hebu tuanzie hapo. Kama unaombea nje basi automatically utachelewa sana. Wanaume makini huombea ndani. Na kama kweli yupo ndani basi akitoka labda awe period!!!

Ok ila tukiacha hayo, jingine ni kwamba huyo anakunyima papuchi akiwa na malengo yake.
Moja, huenda anataka kutengeneza profile nzuri kwako. Hataki umuone maharage ya mbeya.

Ila zingatia lifuatalo; kama anakupiga vizinga huku papuchi hatoi basi ujue umeliwa. Lakini mtoto wa watu mtonyo mpaka umpe mwenyewe basi ujue huyo ana nia yake ambayo si mbaya kwako. Mvumilie siku si nyingi atakupa.
Ila nakusisitizia papuchi USIOMBEE NJE!!!!
 
Tongoza wanawake aged 28 - 40. Hutojuta. Inategemea walivyo lakn, kuna wengine watamu mpaka kisogoni.
 



Wewe Ndio Una Mapepo, Kama Kweli Unampenda C Uende Kwao Ukatoe Mahari? Mnawachezea Mabinti, Mnawapa Mimba Kisha Mnakimbia Na Kusababisha Single Parent

Ninakukemea Achana Na Huyo Dada Kama Huna Mpango Nae.
 
alikwambia ni bikra?? ww fanya yako huyo anakupima tu au una dushe ya namna gan? nakwambia demu akishaingia gheto lazma nimkune awea anataka au vp ww mwanaume gan hujui ku force
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…