Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
hahahahahaha..wapi hiyooo...tukumbushane kidogo..nani alikua anakurusha..dj venture..dj jd..au..?
aiseeee Kipaji Halisi umenikumbusha
mbali na hiyo the boy is mine hahahaaa!!
hahahahahaha..wapi hiyooo...tukumbushane kidogo..nani alikua anakurusha..dj venture..dj jd..au..?
umeona eeh..hawa wasiku hizi hawatishi kbskweli kaka sio wa hawa wakisasa
polee..full kukariri kesho shule ukawaimbiee...
nilikua bado kadogo hata sijajua club
but nilipenda sana huo wimbo,na nilikua
na tape yake acha kabisa!!nikitoka shule mm na radio!!
nilikua bado kadogo hata sijajua club
but nilipenda sana huo wimbo,na nilikua
na tape acha kabisa!nikitoka shule mm na radio!
polee..full kukariri kesho shule ukawaimbiee...
. . .Si ndio kipindi kile twacheza mchezo wa baba na mama?
BTW: mambo vip shem?
kweli kaka sio wa hawa wakisasa
mambo poa mzima wewe lakn
leo umeniita kwa adabu nitaumwa duuuh!!
hahahahahahaha...umeona eeh..ila mie nilikua mtunza tape na cd
na wewe utakua ndio walewale
wa kujaza verse na chorus kwny macounter
nimekushtukia hahahaaaaa!!
..hahahahahaha ina maana mkuu wewe hata hii hujaicheza pale mawingu kwa mr c... Arushaone. . .Si ndio kipindi kile twacheza mchezo wa baba na mama?
BTW: mambo vip shem?
video unaogopa kuangalia na watoto wako....
sio kina nicki minaji wanatukalia
uchi tu stejini khaaaaa!!
sio kina nicki minaji wanatukalia
uchi tu stejini khaaaaa!!
.hahaha ina maana mkuu hata hii hujaicheza pale mawingu kwa mr c.. Arushaone
Lost Boyz - Renee [Official Video HD] - YouTube
aiseee....mnacheza kibaba na kimama...kumbe nishajua humu niko na watu wa aina ganiMe & Passion Lady was kids..!
Madizasta naona yamepita! Tusonge mbele mpz.