Upo uwezekano huiamini akili yako, hujui kutii matakwa ya mwili wako, nakushauri utafiti mabinti wa kabila gani ambao ndoa zao zinadumu, usiogope kulogwa, usiogope kusaidiwa matunzo ikiwa wewe si hondohondo, usihofu kutunza familia ya mkeo mtarajiwa bila kujali atoka kabila gani kwani hivyo ni vionjo vya kujenga heshima na utii kwa mkeo, nijuavyo mabinti wa kinyiramba wanapendeza na wanapendeka. hatimaye wewe ndio wa kujilaumu ama kujipongeza kwa uamuzi wowote utakaouchukua.