Mabinti punguzeni dharau

Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe
Acha ujinga. Yani unatamani kufiwa kuliko kunyimwa namba?
 
jiongeze mkuu huyo anakuwa hajakuelewa....huwa sipotezi muda ..ukiomba namba ya simu akikunyima jikatae bila hata ya kugeuka nyuma huo ndio uanaume, usianze kulialia unajidhalilisha
 
Kwani ni lazima akupe namba yake ya simu?
Ndio maana ikaitwa namba yake, sio yako.
So, kuwa mpole!
 
Pole sana, anamaanisha kwamba hujainunua wewe... Fanya mambo mengine...
 
Vipi yule anayekupa namba lakini kila ukimpigia hapokei, kila wakati na kila siku yupo bize au yule unayejitambulisha tu mie ni flani tulikutana sehemu x na ukanipa namba yako, then akakublock kabisa baaada ya maongezi hayo?
 
Yan ntu akikwambia hana cm we achana nar yan hapo from the beginning kaona we sio type ake
Inawezekana ni Ego boost or anti-slut defense, sio kila anachosema mwanamke anamaanisha, vingine ni shittest kuona namna unavyolose temper.
 
Hapo unashukuru tu maana kifuatacho ni mizinga mfululizo..
 
Simu anunuliwe na mwingine alf akupe namba.... me naona ni ustarabu kama ukimtafutia kitochi alf ndo umuimbishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…