Mabinti punguzeni dharau

Zero Conscious

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
254
Reaction score
526
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa.

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. For sure it pains kinyama, to the extent unawaza hivi hii simbilisi imenichukuliaje?

That's not the case, issue ni namna ya kurespond, jaribuni kuwa na staha kidogo si kumjibu mtu kwa namba itakayomfanya afeel bad
 
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe
Mkuu naona wanaume hatuna jema..tukikubaliwa haraka tunawaita malaya

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kaazime gari ya mtu kama unajua kuendesha au dereva akupeleke hata wa bolt wengi wasojielewa hata hawajui kutofautisha plate numbers za private vs commercial kamrushe roho [emoji28][emoji3][emoji3]

Wengi wanatamaa na kwa hiyo kudanganyika ni rahisi sana!

Isipokuwa wapo wachache ambao wanajielewa hawagawi kwa mtu hadi watakapoolewa.
 
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe



Muulize Kwa hiyo nikununulie simu ?

Akikubali ujue huyo ni wakawaida tu sema anataka maslahi tu
 
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe

Sasa kama hatuna simu tukupe namba gani

Kushikiria simu aina maana ni yangu uenda nimetoka kuifata charge simu ni ya mjomba [emoji23][emoji23]
 
Yan ntu akikwambia hana cm we achana nar yan hapo from the beginning kaona we sio type ake
 
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa..

Kama imewahi kukutokea itakuwa unaelewa. Maumivu yake ni Bora hata ufiwe

Hujakutana na mtu unaomba namba anakwambia hana namba

Hiki ni kizazi jeuri mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…