<br />Wanaume mpooo.... Kuna warembo wanajitahid kwa uwezo waliopewa na MUUMBA wao.. kuweka pozi nzuri,wanaonyesha vizuuri miili yao,sehemu zao ambao wao wanahisi zina mvuto.. ktk miili yao.. Jaman wanaume hawa watoto hawafanyi bure.. wanataka wanaume wawasifie na mwisho wa siku wawatongoze... na kama vip ............???? Sijui.. Tuwape MSAADA..
<br /><font size="3"><font color="#000080">Wana-apply ule usemi wa "Biashara matangazo!"</font></font>
mnh ushamba tu,facebook mbona ni ya wote wanaume na wanawake,kama wanawake walioko facebook wanahitaji men s' suport na wanaume je walioko facebook wanahitaji nini?
Umbea mtupu.
Leta link hapa tuone
mnh ushamba tu,facebook mbona ni ya wote wanaume na wanawake,kama wanawake walioko facebook wanahitaji men s' suport na wanaume je walioko facebook wanahitaji nini?
mmmh!!!! kivipi tena?? embu 2pe proof ndugu.
bora na mimi nigune mmmhmmmhhh.......