Mabilion ya hela yana potea tra mpoo,

Mabilion ya hela yana potea tra mpoo,

mapaja

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Kwa uchunguzi wangu mdogo duka la kamaka liliopo barabara ya mandela opposite na t.o.t,wanauza vifaa vya ujenzi bila kutoa tra risiti ,ushahidi ninao naomba tra wafuatilie waache kulumbana na vi hotel na migahawa,wakitaka ushahid nitatoa contact zangu na document.dduka linauza sana,please tra fuatilieni mkishindwa nita pambana mpaka kwa waziri wafedha
 
TRA staff ndio mafisadi wakubwa, usidhani hilo duka hawalijui bali wanachofanya ni kulisajili [illegally] kama SHAMBA lao, you understand what i mean? Mwenye duka hatoi risiti that means he is saving lots of tax and at the end of the day anamkatia huyo wa TRA anayehusika na eneo hilo. Janja hiyo pia inafanywa na staff wa DAWASCO kwenye maji. Wauza maji wote Dar wanajulikana na maafisa wa DAWASCO kwa kuwa yale ni mashamba yao, know what i mean?
 
Back
Top Bottom