Sikubahatika kupiga picha mkuuweka picha
sawa mkuu hata video?[emoji15]Sikubahatika kupiga picha mkuu
Ilikuwa usiku .kuna kunakucha mtu ana mapele .nitawezaje kuchukua videosawa mkuu hata video?[emoji15]
Ilo niliwaza mapema. Nimepewa dawa za ARV nitumie kwa wiki .nitakuwa goodKaa miezi 3
Uanze dozi mkuu
Dalili za UKIMWI
vipele sehemu za siri
Uchovu
N. K.
anhaa sawa sawa mkuuIlikuwa usiku .kuna kunakucha mtu ana mapele .nitawezaje kuchukua video
hahahahaha kadeki bahari kama yote au siyoSiku yenyewe keshaifikia. Utakuta hapo alipiga deki kwa sana
EeehDhaaaaaaaa hao mashakupe
Aiseee umenikumbusha vingungut
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Walaaaaah cjastaafu n vle humji soko kwa SasaEeeh
Mstaafu
OhooWalaaaaah cjastaafu n vle humji soko kwa Sasa
Raha ya kukaa dsm n uswaz bhana
Nyege mbaya sana...ππππππππ
Mapele kama?
Wakati unapapasa hukuyadetect mkuu?
Huko n gonga twende cha muhimuOhoo
Maana wakati wa raha watu Kimya
Wakipatikana watakuja kuomba ushauri
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Yapata wiki sasa Toka niamie mabibo azimio .uswahili aswa kwa waswahili.
Maisha matam kidogo .ukiamka saubuhi misosi yetu ni
Supu ya mapupu .bandama koromeo nyie kuleni minofu sie tupeni utumbo atuna noma waswahili.
Mihogo,miguu ya kuku tunaita breki .chachandu ndimu kachumbali mbilimbi siye atuna noma nyie kuleni kuku mzima shingo filigisi . utumbo .ivo ndo chakula cha uswahili.
Basi bwana mabibo mapenzi yapo .Jana kulikuwa na kigodoro nyumba ya pili anafundwa mwali
Chura kama zote .sio chura wa kidatu .chura wa mabibo .madera mipasuo kama imechanwa na nyembe.
Masela nondo Adi mavi .mashankupe wote walikuwepo. Uku MC machachali wa singeli ni dogo dunyu.
Apa na pale nikashika shankupe .nikalivutia gettho. Japo msela nikapate kujiuguza..
Tambua ilikuwa naight shankupe limejikwara Lina ng'aaaa ka jini jicho kodoooo .
Tukaingia ndani mechi ilikuwa Kali .mashuti nilishambulia .mashariki .magharibu.kusini nilishambulia .
Kuja kushtuka asubuhi ya saa 3 .naucheki mzigo pembeni duuuuuuuuuu
Kwenye chura kuna mapele kama Ganda la fenesi
Kweli mabibo mapenzi yapo pia