Betri au Mabetri?Ni vema ungelipiga picha likiwa nje ya box na kusema ni ya dry cell au ya maji
Alafu na n120 au 150 kama yapo
Muulize aliepost kama haujamuelewaNi
Betri au Mabetri?
HAYA MABETRI NI DRY CELL TU. 150 YAPONi vema ungelipiga picha likiwa nje ya box na kusema ni ya dry cell au ya maji
Alafu na n120 au 150 kama yapo
Asante kwa ufafanuzi, Betri ni neno moja. Nimetumia neno mabetri ili kutaja uwingi. kwahiyo nikisema Mabetri ya magari, kila mtu anajua namaanisha nini?? Kama kuna wataalamu wa kiswahili wanisaidie hapo.Mabetri maana yake "Ma- magari, betri.=Betry za gari, na kwa kuwa zipo nyingi na jamaa kapiga uwingi basi akaona aandike "mabetri" kana kwamba ndio yale ya redio mkulima kumbe betri za magari.
Sawa nimekuewekea hapo;Weka bei zake kwa mfumo wa "Tshs"
Asante, hapo tupo pamoja sasa. NitakutafutaSawa nimekuewekea hapo;
NS40- 110,000 tshs
N50Z- 162,000 tshs
N60- 124,000 tshs
N70Z- 186,000 tshs
NT180- 500,000 tshs
NT165 - 470,000 tshs
Njoo uchukue nikupe ofa ya discount. Betri imara sana hizo.Asante, hapo tupo pamoja sasa. Nitakutafuta
nataka n50 with discount nikuletee shingap..dry
We njoo ofisini msasani ntakupa discount au nipigie simu 0717518359 tumalize biashara.mimi
nataka n50 with discount nikuletee shingap..dry
Ndio zinafaa kwa matumizi ya solar. kwa asilimia 100 zinatumika.Zinafaa kwa solar?