Mabenki na wiki ya wateja

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Jana katka shughuli zangu za Benki niliingia Benki ya Barclays na leo nimeingia Benki ya AcessBank na kukutana na nyuso za furaha ya KARIBU na kunieleza kuwa wiki hii ni wiki ya wateja. Baadaye wakanikaribisha PIPI kama motisha. Napenda kutoa ushauri kwa Mabenki yote kama ifuatavyo:- Mnapokuwana Wiki ya Wateja kwanza aandaeni kongamano kwa kuwaita Wateja kwa njia ya Sampling kutoka wateja wadogo mpaka wakubwa. Tayarisheni mada zenu baadaye wape wateja uwanja kutoa changamoto zao. Mkishamaliza kongamano tayarisheni mkao wa jioni kwa wateja ili kubadilishana changamoto za Kibenki. Mtindo wa kupeana pipi hautasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…