Mabaunsa wa baa za Tabata ni wezi

MASIORA

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
660
Reaction score
271
Unapokuja tabata kufanya starehe ,kuwa makini sana na hawa ma baunsa,,inapotokea wamekusoma kuwa una mtonyo wakutosha pamoja na vitu vya thamani kama saa,cheni ,pete,,wanatuma watu wao,wakuchokoze,ilimradi vurugu itokee,,alafu wao wanakuja kukubeba juu,juu kukutoa nje,,unapofika,nje,,utapigwa kama mwizi,,na mwisho wa picha ,,utajikuta kila kitu kimeibiwa,,hasa hasa waleti pamoja na simu,,hawapo kwa ajili yakulinda usalama wa mteja ,,bali wako kwa ajili yakujinufaisha wao,,nakuijengea sifa mbaya bara husika..mfano THE GREAK PARK,,iliyopo barakuda kwenye mpando wakuelekea segerea
 
Acha fit Acha fitina wewee, kama ulienda kuuza sura na kujifanya kidume utachapwa tuu. Sura kauze Kino
 
Hali ngumu kila kukicha watu wanabuni mbinu mbovu za kupata chochote,pumbavu zao kabisa hao wabeba vyuma wasio na marinda.
 
wangese sana wale..jana wamenipora pauni yangu..nikarudi korodani tupu home..gari imeenda inamissmiss hadi home hela ya wese sina
 
Ukiona hivyo ujue malipo yao sio mazuri
 
Badala ya kumshauri mwenye bar abadilishe management nyie mnamtukana mleta feedback. Mwisho wa siku bar inakufa
 
Acha unywaji wa kibabe ulishapitwa na wakati, wewe unaonekana pombe zikichanganya unajifanya mbabe na muongeaji sana utaumia dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu unayetaka kunywa biere bila bugudha na kistaarabu zaid The Gteat Park sio sehemu sahihi ya kwenda
 
Makanisa na misikiti yote hii Dar bado unaona sehemu ya kutuliza akili ni bar ? Si uende hata gym ?
Ibiweni tu kama mtu umeenda kuharibu akili kwa makusudi unategemea nini ? Shenzy walevi wote
 
Manina xaoo haoo hawajapaga mabaunsa walevi siku watakutana nao wahuni kama waoo watatatuliwa marindaa tu one day
 
Makanisa na misikiti yote hii Dar bado unaona sehemu ya kutuliza akili ni bar ? Si uende hata gym ?
Ibiweni tu kama mtu umeenda kuharibu akili kwa makusudi unategemea nini ? Shenzy walevi wote

Duh, noma sana
 
Aah hao mbona kawaida yao mkuu, wana kazi mbili mbili, tena usiombe uwe umelewa watakusaula kila kitu, kuna mmoja tunaishi nae mtaani akirudi asubuhi kutoka job ana simu za wizi si chini ya tatu.
 
Nikimuona mtu sehemu kama Great Park Baracuda hata kama nilikua nsmheshimu. Huo ndio utakao kua mwisho wa yeye na mimi.
 
Kumbe kile kichapo cha juzi ilikuwa ni wewe..
Kama uliona gari pale parking nje lenye kioo tinted lilokuwa limepaki kiutofauti na mengine basi ilikuwa ni mimi
 
hivi mabaunsa wanaogopeka kwa yale mavifua yao au huwa wanaweza kuchapa mkono pia,maana me binafsi kuna baunsa flani nilipanga nae juzi kati mkono,kitu nilichomfanya,nadhani hatarudia kuzingua watu kijinga tena..kwa kifupi nilimtoa ngeu za kutosha.
 
Kwa sisi wajuzi wa Tabata tangu na tangu. Baa za kwenda ambao wana ustaarabu asilimia zote na hakuna cha bonsa wala mjomba wake na bonsa ni GBF. Pale ukiona vipi, unaacha na gari unapitia kesho yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…