Mabati na mbao

Mabati na mbao

odara2

Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
16
Reaction score
0
Kwa wale wanaofahamu bei ya mabati naomba mnifahamishe bei za mabati ya rangi migongo midogo na MBAO zenye dawa 2*4 futi 18,kama kuna mapungufu ktk tangazo langu pia kusahihishwa ruksa
 
Mm nataka kujua bei kama nitaimudu niwape kazi
 
Mkuu tangazo lako halitoshi!upo wapi?Dar,Arusha,Kibondo etc?bei inategemea na mahali ulipo!kama upo dar mbao 2by4treated inauzwa kwa futi mkuu!inatembea shs 900 hadi 880 kwa futi moja!urefu inategemea kwani zingine zinafikia urefu wa futi 20!

Kuhusu mabati mkuu yapo ya Alaf,Ando na mchina,inategemea unataka kiwanda gani kila product ina bei yake!na pia gauge ya bati husika!kuna gauge 32,30,28,26 24 nk
 
Ubao wa futi 10 2by4 niununue kwa 9 000? huku kwetu ni buku tu tena futi 12.
 
Ubao wa futi 10 2by4 niununue kwa 9 000? huku kwetu ni buku tu tena futi 12.

Sa ndo umeandika nini? Huko maporini unanunuaje buku, wakati ukienda porin unakata bure?
 
Sithole nimekuelewa,mm Niko dar,na hayo mabati ingekuwa vzuri ukanijulisha bei zake na tofauti zake kama inawezekana,samahani lakini
 
Current price 2*4 treated 980,2*6 1470 magari migongo mipana 28G =27,000 me mwenyewe nauza njoo tujenge Pamoja
 
Mim nauza bati na mbao current price 2by4 ni 960 kwa futi,2by6 ni 1400 kwa futi na 2by2 ni 480 kwa futi...mabati 28gauge from Alaf ni 15340 kwa meter na Dragon 28g ni 11500 kwa meter na kampuni nyingne za kichina ni 26000 kwa bati la meter tatu 28gauge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom