Nimeona boss hayo mabati yapo bei 12500 kwamita na kwa pc bei 36000, karibu sana idadi yoyote utapata
Nahitaji msouth bati 190 migongo mipana rangi ya deep blue or dark red,,tuwasiliane maana maelezo yako pia hayatosherezi
Migongo mikubwa I.T 5/4 bei 24000geji30/27000 geji28, migongo midogo ya rangi geji30 bei 22000/geji28 bei 25000, bandle bati za kawaida bei ni 245,000. Karibuni wateja
Kwenye bandle kuna mabati 16 yenye geji 30 na kuna bandle mabati 12 yenye geji 28. Kiwanada cha simba au kibokoHayo ya kawaida yanakuwa mangapi kwenye bundle? Hiyo bei ya mabati ya kawaida ni kwa mabati ya geji ngapi?, ni ya kiwanda gani?
Okay nimeshazielewa boss hizo kila pc ni 15,000Hivi umeyaelewa haya mabati kwenye hiyo picha?? Hizo ni bati vigae zenye chenga na zenye upana wa 1.5m na urefu ni 1.2ft. Sasa sijakuelewa unaposema 36000 kwa pc na 12500 kwa mita. Hebu fafanua.
So hiyo sio bei ya jumla?, maana bei za uswahili ni 16000 na wewe unauza kama 15300, anyway ni biashara una reject pia?Kwenye bandle kuna mabati 16 yenye geji 30 na kuna bandle mabati 12 yenye geji 28. Kiwanada cha simba au kiboko
Migongo mikubwa I.T 5/4 bei 24000geji30/27000 geji28, migongo midogo ya rangi geji30 bei 22000/geji28 bei 25000, bandle bati za kawaida bei ni 245,000. Karibuni wateja
Hivi umeyaelewa haya mabati kwenye hiyo picha?? Hizo ni bati vigae zenye chenga na zenye upana wa 1.5m na urefu ni 1.2ft. Sasa sijakuelewa unaposema 36000 kwa pc na 12500 kwa mita. Hebu fafanua.
Okay nimeshazielewa boss hizo kila pc ni 15,000
Kwenye bandle kuna mabati 16 yenye geji 30 na kuna bandle mabati 12 yenye geji 28. Kiwanada cha simba au kiboko
Kwa wale wa mwanza nitafuteni nitafanya nanyi biashara kwa bei nzuri,bati zinatoka India zinaitwa TATA ni zile za mingongo mipana geji 30 rangi ni bluu,niweka picha kesho,bei 32000 kwa pc haipungui,na sio fake unaziona kwanza ukiridhika poua tunafanya biashara, ni pm kwa atakae hitaji !
Kwenye bandle lenye futi 8 yanakuwepo mabati 19, yenye futi 10 ndio yanakuwepo 16, karibuni sana watejaHapa kuna taarifa muhimu hujaweka, ni mabati ya futi ngapi?
pia mwenye uelewa asaidie, kunabati ngapi kwenye bandle ya bati geji 30 kwa futi 8 ?