Karibuni Wateja mnaohitaji mabati ya aina mbali mbali, yapo ya aina zote migongo mikubwa na midogo pamoja na vigae vya kisasa na misumari aina zote, mlioko dar es salaam na nje ya dar wote nawakaribisha,wamikoani tutawasafirishia mpaka mkoa ulioko nawakaribisha sana. Bei nayowauzia niyakiwandani karibuni sana
Migongo mikubwa I.T 5/4 bei 24000geji30/27000 geji28, migongo midogo ya rangi geji30 bei 22000/geji28 bei 25000, bandle bati za kawaida bei ni 245,000. Karibuni wateja
Mkuu umekuja wakati muafaka, nahitaji hizo bati kwenye picha, naomba uniambie wauzaje kwa pc mimi nataka jumla kama pc 600 hivi, niambie original bei gani?
Mkuu umekuja wakati muafaka, nahitaji hizo bati kwenye picha, naomba uniambie wauzaje kwa pc mimi nataka jumla kama pc 600 hivi, niambie original bei gani?
Kwa wale wa mwanza nitafuteni nitafanya nanyi biashara kwa bei nzuri,bati zinatoka India zinaitwa TATA ni zile za mingongo mipana geji 30 rangi ni bluu,niweka picha kesho,bei 32000 kwa pc haipungui,na sio fake unaziona kwanza ukiridhika poua tunafanya biashara, ni pm kwa atakae hitaji !