MABATI CHAPA DRAGON

Mbona bei kubwa sana. 45000 gauge 28, hii kubwa sana
 
Mm naulizia Bati za Tata. Hizi ni bati kutoka Nje ya nchi. Hasa India. Naweza pata Wakala wao?
 
Gauge 30 ni 13000 kwa mita,gauge 28 ni 17000 kwa mita, katika urefu ni chaguo la mteja
Fundi akikupa vipimo kama hivi 750, 650,300 nk. Je hi huwa kamaanisha nini?? Na unapigaje hesabu yake kupata hiyo mita za bati???
 
Fundi akikupa vipimo kama hivi 750, 650,300 nk. Je hi huwa kamaanisha nini?? Na unapigaje hesabu yake kupata hiyo mita za bati???
Hapo anakupa vipimo kwa SI unit ya centimeters kwahiyo tunavibadili katika mfumo wa mita ,mfano: 750cm = 7.5meter, 650=6.5meter n.k
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…