Mabasi ya UDA hayaonekani

Mabasi ya UDA hayaonekani

Dartz

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
258
Reaction score
90
Wana JF,

Naomba kujuzwa, nina kama siku nne hivi siyaoni mabasi ya UDA barabarani, kulikoni?
 
yako lupango yote, mmiliki wake ameingia mitini. Hapa kazi tu.
 
uda ni kampuni ya kimagumashi, wamiliki wake ambao ni kisena na wenzie wako pale botion tu! ila wamiliki halali ni ile familia inayopenda kwenda ulaya kuliko kwenda kujijini kusalimia familia zao!
 
sasa wameyaficha wapi? ha ha ha
 
mbona yapo mengi. WAULIZE WATU WA MBAGARA, KIGAMBONI-KONGOWE. HUO NDIO USAFIRI WAO
 
uda imehamamia mikononi, ngoja ipumzike, itarudi kivingine ikiwa saaaaaf.....
 
Hi Guys,

Je ofisi za DARCOBOA ziki wapi? na mnaweza kunisaidia number za maafisa wake nataka kuanzisha biashara ya Daladala.. Nikipata number Mwenyekiti (Said Mabrouk) au mtendaji wake nitashukuru.
 
Baada ya kukabiliwa na kashfa kubwa ya kutolipa kodi wamebadilisha rangi na yanaendelea kupiga kazi!!!!
 
Back
Top Bottom