Wadau hebu tuliangalie hili swala la ujazaji Wa abiria kupita kiasi kwenye mabasi ya mwendokasi hapa dar. Je Nani anadhibiti hii kitu? Au Ni kujaza hadi pale mchina alipoishia kutengeneza upana na size nzima ya haya mabasi?
Kama Ni Sumatra au Traffic police bas tupate ufafanuzi.Au mabasi yaendayo mikoani ndo yanabeba binadam na mwendokasi yanabeba mizigo? Sheria imekaaje hapa?
Nawasilisha