themagnificient JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 1,065 Reaction score 3,845 Dec 21, 2021 #1 Nlikuwa na kasafari naona wamekomalia mabasi fulll hadi tarehe 26 Now plan zangu kupanda gari za tanga tu nkifika pale naungansha
Nlikuwa na kasafari naona wamekomalia mabasi fulll hadi tarehe 26 Now plan zangu kupanda gari za tanga tu nkifika pale naungansha
76er JF-Expert Member Joined Jun 9, 2017 Posts 210 Reaction score 482 Dec 21, 2021 #2 Ndege ziko wazi
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,306 Reaction score 10,977 Dec 21, 2021 #3 Tren ya Magufuli haipo tena?
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,277 Reaction score 22,078 Dec 21, 2021 #4 Kuna Costa kibao za usiku!!! Binafsi napenda Sana kusafiri usiku
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Dec 21, 2021 #5 kitalembwa said: Kuna Costa kibao za usiku!!! Binafsi napenda Sana kusafiri usiku Click to expand... ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi
kitalembwa said: Kuna Costa kibao za usiku!!! Binafsi napenda Sana kusafiri usiku Click to expand... ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,277 Reaction score 22,078 Dec 21, 2021 #6 Hajto said: ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi Click to expand... Upo sahihi kabisa
Hajto said: ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi Click to expand... Upo sahihi kabisa
themagnificient JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 1,065 Reaction score 3,845 Dec 21, 2021 Thread starter #7 Hajto said: ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi Click to expand... Zimepigwa ban baada ya ajali ya magazeti
Hajto said: ni kweli kabisa,ukienda tegeta ama bunju unapata bila wasiwasi Click to expand... Zimepigwa ban baada ya ajali ya magazeti
Phobia JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,877 Dec 21, 2021 #8 themagnificient said: Nlikuwa na kasafari naona wamekomalia mabasi fulll hadi tarehe 26 Now plan zangu kupanda gari za tanga tu nkifika pale naungansha Click to expand... Unamwambia Nani we mchaga mpenda magendo! Wezi na wauaji wakubwa nyie
themagnificient said: Nlikuwa na kasafari naona wamekomalia mabasi fulll hadi tarehe 26 Now plan zangu kupanda gari za tanga tu nkifika pale naungansha Click to expand... Unamwambia Nani we mchaga mpenda magendo! Wezi na wauaji wakubwa nyie
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,667 Reaction score 3,490 Dec 21, 2021 #9 msoso mpeseni said: Unamwambia Nani we mchaga mpenda magendo! Wezi na wauaji wakubwa nyie Click to expand... Umemkosea sana. Nakushauri umuombe msamaha
msoso mpeseni said: Unamwambia Nani we mchaga mpenda magendo! Wezi na wauaji wakubwa nyie Click to expand... Umemkosea sana. Nakushauri umuombe msamaha
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,613 Reaction score 19,827 Dec 21, 2021 #10 Si mpande ndege... Hamna hela nyie. Bukoba wameongeza route Bila kutaka
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,965 Reaction score 25,330 Dec 22, 2021 #11 Billions said: Stress za kujiua hizi! Click to expand... Niaje bro..