apologize JF-Expert Member Joined Jul 22, 2015 Posts 709 Reaction score 571 Jan 5, 2019 #1 Habarini wakuu? Naomba kujua kama kuna mabasi yanafanya route za Mbeya to Mwanza Basi nzuri ni lipi ? Gharama zake zikoje? Zitapita route ipi? Na inachukua muda gani kufika mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu? Naomba kujua kama kuna mabasi yanafanya route za Mbeya to Mwanza Basi nzuri ni lipi ? Gharama zake zikoje? Zitapita route ipi? Na inachukua muda gani kufika mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app