hapo kwa kiyoyozi nakubaliana nawew, Sijui kwanini wanàwasha na kuzima AC. Nilipanda kutoka Iringa nilijuta bora ningepanda Chaula tu maana nauli zao ziko sawa full kiyoyozi mpaka dar na huduma nyingne ya kinywajiNdugu wana jf. Salamu kwenu. Niende kwenye mada. Leo jumamosi tarehe 19. 01. 2019 nilipanda basi LA AL SAEDY lenye namba T 990 DGZ kutoka morogoro kwenda dar es salaam. Mnamo saa 10 alasiri basi liliendelea kujaza abiria tukidanganywa basi lingetoka baada ya dakika 5. Nilitoa noti ya elfu 10 sikupewa chenji ingawa nilipokomaa kudai nilipewa. Tuliambiwa kwamba basi lina kiyoyozi na huduma ya kuchaji simu. Niliingia ndani ya basi vitufe vya kuchaji simu vyote vibovu. Kiyoyozi kiliwashwa kwa muda tu. Basi liliondoka saa 12 jioni. Kiyoyozi kikazimwa. Tukaambiwa tufungue madirisha. Tulilalamika lkn hatukusikilizwa. Wafanyakazi wa basi la SAEDY namba T 990 DGZ walituonesha shoo ya KIBABE. Sijui km tajiri anajua yanayotendeka kwenye mabasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uchunguzi wangu mdogo niliofanya nimegundua mabasi yote yanayomilikiwa na Watu wa dini ya kiislam wana utaratibu mbovu sana ambao haueshimu haki za abiria. Siimanishi kwamba waislam ni watu wakatili la hasha, nilichogundua ni kuwa wamiliki hao wanaajiri vijana kutoka mtaani ambao eitha hawajasomea hizo kazi au huwa hawawapatii mafunzo kabla ya kuwaajiri. Unakuja kijana kamaliza la saba kesho anaambiwa njoo ukae kwenye gari. Shida nyingine iko kwenye kutuma mizigo, serikali iangalie kwa makini namna mizigo inavotumwa na changamoto zilizopo. Wapo watu wengi walituma mizigo yao haifiki au ikifika unakuta haiko salama na unapewa majibu yasiyoridhisha.Ndugu wana jf. Salamu kwenu. Niende kwenye mada. Leo jumamosi tarehe 19. 01. 2019 nilipanda basi LA AL SAEDY lenye namba T 990 DGZ kutoka morogoro kwenda dar es salaam. Mnamo saa 10 alasiri basi liliendelea kujaza abiria tukidanganywa basi lingetoka baada ya dakika 5. Nilitoa noti ya elfu 10 sikupewa chenji ingawa nilipokomaa kudai nilipewa. Tuliambiwa kwamba basi lina kiyoyozi na huduma ya kuchaji simu. Niliingia ndani ya basi vitufe vya kuchaji simu vyote vibovu. Kiyoyozi kiliwashwa kwa muda tu. Basi liliondoka saa 12 jioni. Kiyoyozi kikazimwa. Tukaambiwa tufungue madirisha. Tulilalamika lkn hatukusikilizwa. Wafanyakazi wa basi la SAEDY namba T 990 DGZ walituonesha shoo ya KIBABE. Sijui km tajiri anajua yanayotendeka kwenye mabasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
UNA UFAASIKI MKUBWA SANA KICHWANIKwa uchunguzi wangu mdogo niliofanya nimegundua mabasi yote yanayomilikiwa na Watu wa dini ya kiislam wana utaratibu mbovu sana ambao haueshimu haki za abiria. Siimanishi kwamba waislam ni watu wakatili la hasha, nilichogundua ni kuwa wamiliki hao wanaajiri vijana kutoka mtaani ambao eitha hawajasomea hizo kazi au huwa hawawapatii mafunzo kabla ya kuwaajiri. Unakuja kijana kamaliza la saba kesho anaambiwa njoo ukae kwenye gari. Shida nyingine iko kwenye kutuma mizigo, serikali iangalie kwa makini namna mizigo inavotumwa na changamoto zilizopo. Wapo watu wengi walituma mizigo yao haifiki au ikifika unakuta haiko salama na unapewa majibu yasiyoridhisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moro Dar uhakika ni AboodNdugu wana jf. Salamu kwenu. Niende kwenye mada. Leo jumamosi tarehe 19. 01. 2019 nilipanda basi LA AL SAEDY lenye namba T 990 DGZ kutoka morogoro kwenda dar es salaam. Mnamo saa 10 alasiri basi liliendelea kujaza abiria tukidanganywa basi lingetoka baada ya dakika 5. Nilitoa noti ya elfu 10 sikupewa chenji ingawa nilipokomaa kudai nilipewa. Tuliambiwa kwamba basi lina kiyoyozi na huduma ya kuchaji simu. Niliingia ndani ya basi vitufe vya kuchaji simu vyote vibovu. Kiyoyozi kiliwashwa kwa muda tu. Basi liliondoka saa 12 jioni. Kiyoyozi kikazimwa. Tukaambiwa tufungue madirisha. Tulilalamika lkn hatukusikilizwa. Wafanyakazi wa basi la SAEDY namba T 990 DGZ walituonesha shoo ya KIBABE. Sijui km tajiri anajua yanayotendeka kwenye mabasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini ulijua kuwa fulani ni kafiri? Ulipozaliwa uliambiwa na wazazi wako? Au uliambiwa na jamii inayokuzunguka? Au ulisoma kwenye vitabu? Au uliona kwenye video na kusikiliza kwenye sauti?UNA UFAASIKI MKUBWA SANA KICHWANI
Umekosa cha kuchangia mpaka uingize uislaam. Mbona sisi tunachangia na hatuugusi UKAFIRI WAKO.
Kwasababu tunajua inagusa Iman ya MTU, na sisi lipo katazo la kuitukana,kuidhihaki au kuidharau Iman ya mwingine,ili na yeye asije kututukania dini yetu ya Haki.
Kwani KAFIRI WEWE UNA NINI?
kwahiyo udhaifu wa AL SAYEED,n.k ndio uwadhihaki waislaam?,
Mada ilihusu huduma mbovu za Al saved, kulikuwa na haja gani ya kuwajumuisha waislaamNi lini ulijua kuwa fulani ni kafiri? Ulipozaliwa uliambiwa na wazazi wako? Au uliambiwa na jamii inayokuzunguka? Au ulisoma kwenye vitabu? Au uliona kwenye video na kusikiliza kwenye sauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ambaye uliaminishwa kuwa ni kafiri ndio huyo huyo ambaye amekuzidi nyanja zote za kiuchumi, kielimu, kimaendeleo, kiimani. Wahindi wanaabudu ngombe ila sijawahi kusikia mkisema wao ni kafiri.Mada ilihusu huduma mbovu za Al saved, kulikuwa na haja gani ya kuwajumuisha waislaam
Au islamophobia