Hivi viongozi wa serikali wakipita kwa forums kama hivi na kusoma negative remarks toka kwa wadau, hivi huwa wanajisikiaje? Au wamebofya button ya "we don't care"!?
Binafsi naona ni fedheha kupewa taasisi uiongoze na kila siku inasemwa vibaya kwa huduma mbovu, wakati solutions zipo tena hazihitaji rocket science.