Kama Mourinho alipaki basis kwa nini wako wasitumie ndege au chopa kupita
Hayo ni malalamiko ya kitoto kama Chelsea walipaki basi mbona walifunga goli mbili ingekuwa drop ingeleta maana
Mpira ni mchezo wa mabishano...ukicheza vizuri ukifungwa tutasema 'aaah wamecheza wao lkn wamefungwa'..na ukicheza vibaya na ukishinda ndio yale kwa yale...kubwa katika mchezo wa soka zipo siku lazima utafute point tatu sio kufurahisha watu...Bingwa anapatikana kwa point sio kwa aliyecheza vizuri.