Mabasi mawili ya Chelsea

Brendan Rodgers amelalamika sana leo asubuhi kwenye vyombo vya habari kuwa Jose Mourinho alipaki MABASI MAWILI pale timu yake ya LiverpoolFC ilipocheza na chelsea jana.
 
Last edited by a moderator:
Tehe teheee mbinu ya mchezo pia hiyo lazima watu wanune chezea basi la nchi kavu na ardhini wewee
 
Brendan Rodgers amelalamika sana leo asubuhi kwenye vyombo vya habari kuwa Jose Mourinho alipaki MABASI MAWILI pale timu yake ya LiverpoolFC ilipocheza na chelsea jana.

Mkuu Arushaone, yale wala hayakuwa mabasi, nafikiri Brendan hakuona vizuri, zilikuwa treni mbili, kupita ilikuwa kazi ngumu. Hiyo nayo ni mbinu muhimu ya mchezo wa mpira, kupaki Basi au namna gani vipi unapaki treni kabisa.

Tiba

Tiba
 
Hivi aliyepata radha ni yule aliyeshinda au yule aliyefungwa????!!!
 
Inabidi wabadilishe utoaji wa pointi kama kwenye ngumi. Anayerusha ngumi nyingi kwa mpira wa miguu anayepiga mashuti mengi golini basi apewe point nyingi !
 
Acheni fitna hiyo inaitwa shikwambi.ni pm ntakupa maelezoyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…