Sawa ila kwa ushauri wangu tu, hiyo bei ni kubwa. Huku majohe katika maduka ya vifaa vya ujenzi rejareja yanauzwa tsh2500, sasa jenga picha mtu kwa bei ya jumla umuuzie tsh3000, alafu yeye atauzaje?
Yani hata mm nashangaa bei imezidi mpaka za hardware Fanya tafiti kwanza ujuwe washindani wako wana uzaje reja reja arf ndo useti bei yako ya kuuza kwa jumla