GE2025 Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi

GE2025 Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
#Habari:“Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi” - Ndugu Ramadhani Kailima, Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

✍🏾: @Goodluckepafra

#EastAfricaTv #Habari
 

Attachments

  • Screenshot_2025_0802_134137.jpg
    Screenshot_2025_0802_134137.jpg
    188.5 KB · Views: 15
Back
Top Bottom