Wana jf Leo nimewaza kitu why kila kona kuna mabango ya mawakala wa Freemasons na namba zao za simu `„je nikweli kuna watu wamefanikiwa kupitia haya mabango kujiunga na Freemason??
Na je kama sio wakweli serikali iko wapi kuwashughulikia matapeli hao ?
Hebu naombeni mchango wa mawazo Yenu pengne Mimi ndio sijaelewa
Sent using
Jamii Forums mobile app