Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 722
Wakuu kwa haraka haraka sijawaona mabalozi wa nje,ina maana nao wamesusia kama CUF?Pia kwa haraka haraka hata marais wa staafu sijawaona.Lakini wakuu kama mmewaona mnijuze.Pia mama Karume naona ajipumzikie tu.Kusema kura 6000 katia nani ni kuchoka kufikiri tu.kwani hata hiyo 299000 aliyo pata Shein nani ajuaye.Maana waliandaa ccm,wakapiga ccm,wakatangaza matokeo ccm nakisha wakajiapisha ccm.Sijui kama kuna haja yakuumiza kichwa kuhusu kura hizo