ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 155
- 182
Tunaendelea tulipoishia ...
Baada ya Crew inayoitwa disabled jay Rapers Group kuvunjika baada ya mtu mfupi ( stacha cool) kuzinguana na wezake "jb" mkuu wa majaji na dj snoks a.k.a zungu la unga ..
ndio dj snoks na jb wakaja na idea mpya town hapo ndipo ikapatikana Crew inaitwa " Mabaga fresh"
Dj snoks: kwenye miaka ile ya 1990s mtu mwenye ulemavu Dar es Salaam ukienda kwenye Duka la mtu yoyote kununua kitu na wewe ni mlemavu ( kwenye maduka ya wahindi) ukiingia mule na wewe ni mlemavu wale wamiliki wa maduka ambao ni wahindi walikuwa wanahisi sisi ni omba omba ( masikini) ..
Muda mwingine tulikuwa tunapewa zile cent 50 na wamiliki wa maduka, ila sisi tulikuwa tunakaa tuna waambia wamiliki wa yale maduka kwamba sisi tumekuja kununua bidhaa kama wateja wengine wakawaida wala sisi sio masikini kama mnavyofikiri..Hatutaki msaada sisi tumekuja kununua bidhaa
na ndio maana tukapata idea ya jina kama hivi..
"Mabaga " kwa lugha ya kibatu ni makambi Au mapumba ( kitu kisicho faa) Yaani hakina thamani ..
Lakini mbele tukaweka neno la kizungu " fresh" kwamba ni kitu kizuri , wewe kitu unacho kiona ni kibaya lakini kwetu ni kizuri.. sisi umetuona hatuna thamani sababu ya "ulemavu " ila sisi ni watu wenye faida kwako kwakuwa tumekuja kukupa fedhaa tulizo nunulia bidhaa katika Duka lako na sio kuomba msaada...
Kipindi tuna anzisha "Disabled jay Rapers Group " ilikuwa ni 1994 - 1995, ila ilipo fika mwaka 1998 -1999 ndio tukaunda hii Crew ya "Mabaga fresh " mimi dj snoks a.k.a zungu la unga na mwezangu jb mkuu wa majaji. Maana mshkaji wetu "stacha cool miaka ile 1994 -1995 alizingua ndio chanzo cha kuvunjika Disabled JAY Rapers Group.
Na kuanzishwa "Mabaga fresh " 1998 -1999..na ndio tuka rekodi nyimbo yetu ya kwanza kabisa, ambayo inaitwa " mtulize " Originally version mwaka 1998 -1999 nyimbo hii ilichezwa enzi hizo na kituo kimoja tu cha Radio kwa wakati huo. " Radio uhuru" na Radio presenter & dj kwa wakati huo pale uhuru aliyeweza kuicheza sana kwenye vipindi nyimbo yetu ya " mtulize" alikuwa anaitwa Sebastian Maganga "kipindi hicho Sebastian Maganga alikuwa ametoka kwenye Radio nyingine enzi hizo inaitwa "Radio tumaini" na kuamia kwenye kituo kipya cha kazi kama radio presenter & dj pale kwenye Radio inaitwa " radio uhuru" jijini Dar es Salaam..
Maana enzi hizo " Radio tumaini" ndio kilikuwa kituo cha kwanza cha Radio kinacho milikiwa na mtu binafsi,hii ngoma tulirekodi kwa producer mmoja anaitwa "dj Honey" huyu producer alikuwa anatokea huko ughaibuni nchini marekani lakini mama yake mzazi alikuwa anafanya kazi hapa hapa Tanzania 🇹🇿 kwenye kiwanda cha Cement" twinga cement pale wazo hill..na kitu kilichopelekea dj Hanney kututafuta sisi " Mabaga fresh" ni baada ya dj Hanney kutusikia kwenye Radio 📻 kwenye show ambayo ilikuwa imeandaliwa na "Clouds media Group" tamasha lilikuwa linarushwa live kupitia kituo cha Radio " Clouds fm" tamasha hili lilifanyika katika maeneo ya shule ya jitengemee secondary school , sasa wakati dj Honey anasikiliza ile show live" Clouds fm" kwenye Radio kutokea maeneo ya Jitegemee secondary school producer dj Honey ndie alikuwa producer wa kwanza enzi hizo hapa Bongo ambae alikuwa amerekodi kazi nyingi sana na msanii Godfrey Tumaini a.k a " Dudu baya" nyimbo za dudu baya kama vile mwanangu huna nidhani na nyingine nyingi..kipindi hicho Dudu baya bado ni underground,.. sasa wakati producer dj Hanney na msanii dudu baya wanasikiliza ile show kupitia Clouds fm ..
Ndio dj Honey kumuuliza dudu baya je.? Wasanii hawa una wafahamu dudu baya nae alimjibu producer dj Hanney kwamba wasanii hawa nina wafahamu wasanii hawa ni walemavu.. maana kila siku jumapili huwa wana perform katika ukumbi wa silent club pale mwenge
Tufanye kitu kimoja tunawatafute hawa ma bwana maana naona wana kitu chenye utofauti mbona watu walio hudhulia hii show pale jitengemee secondary school wanaonekana kuwa na vibe kubwa sana baada ya wasanii hao kupanda katika jukwaa..
Na sisi kisa hiki kilitokea vipi mimi na mwezangu jb mkuu wa majaji tulikuwa tunatokea kariakoo kwenye mishe mishe zetu za kila siku sasa wakati tupo kwenye daladala tunarudi zetu masikani ndio tukawa tunaisikia ile show ndani ya Radio iliyokuwa inasikika mule ndani ya daladala baada ya dreva kufungua Radio " Clouds fm" maana ile show ilikuwa live kupitia Clouds fm sisi tuliposikia ile show kwamba iko maeneo ya Jitegemee secondary school ikatupindi kushuka kutoka kwenye daladala maeneo ya Serengeti Breweries Ltd.. " machinjioni" makutano ya barabara ikitokea keko kwenda temeke na barabara kutokea uwanja wa taifa kuelekea tazara mimi na mwezangu jb mkuu wa majaji tukashuka pale tukaaza kutembea kwa miguu kipindi hicho uwanja wa taifa ni "uwanja wa uhuru" barabara ilitupeleka moja moja mpaka pale Secondari jitengemee, sisi tulipofika jitengemee secondary school watu walipotuona , walianza kupiga shangwe pale jitengemee kwaajili ya uwepo wetu sisi katika lile eneo la tamasha pale jitengemee.. kipindi sisi tupo pale chini ndio tunafika jukwaani walikuwa wana perform crew moja hivi inaitwa " Gangwe mobb" inspector haroun na Luteni karama, waliposhuka Gangwe mobb ndio Clouds wakawa wametuita pale pembeni kwaajili ya mazungumzo. Tukazungumza nao kisha wakatuuliza je?.. mnaweza kupanda kwenye jukwaa kwa sasa ili muweze kuperform tukasema ndio aina shida, vip? Kuhusu beat ( instrumental) nyinyi wakeni lolote tu mimi dj snoks na mwezangu jb mkuu wa majaji tukawa tumepanda pale jukwaani katika viwanja vya jitengemee secondary school nakumbuka beat iliyowekwa wakati sisi tupo pale jukwaani ( kwenye stage) ilikuwa ni beat msanii kutoka marekani anaitwa " nas" nyimbo inaitwa "hit me now" tukatumia beat ya nas kwa kuimba lycris za nyimbo yetu ya " mtulize"
" mtulize kudadeki tuna hasira utadhani tume mwangiwa maji ya betri"
Dj Honey na dudu baya wanaifuatilia show kupitia Clouds fm..
Siku ya Jumapili kama ilivyokawaida yetu sisi tukiwa tunajiandaa kupeform pale silent Club mwenge show zilizokuwa zinaandaliwa na jamaa moja anaitwa kadi muro huyu jamaa alikuwa ni mdau wa mambo ya soka soka, ndipo msanii dudu akawa amekuja kuzungumza na sisi pale ndani ya ukumbi ..
Sasa Ebony maalimu ambae nae alikuwa anafanya muziki Aina ya R.n.b nae alikuwa anatukubari sana ebony maalimu akawa amemfuata jamaa yake mwenye asili ya watu wa Somalia 🇸🇴 ( msomali) huyu jamaa ndie alikuwa ana miliki Duka la mavazi ya ghalama " Duka hili lilikuwa special kwaajili ya kuvarisha mastaa enzi hizo kuanzia wasanii, Radio & tv prisenter , djs na viongozi wakubwa serikalini..
Ebony maalumu alipo mueleza jamaa huyu mwamba hakuwa na hiyana anamueleza jamaa yake kwamba wewe walete tu. Na kwa wakati huo huyu msomali alikuwa na maduka yake mengine maeneo ya Barabarani kuelekea Coco beach karibia na ukumbi ulikuwa unaitwa " Mango 🥭 Club" ukumbi huu ukaja kubadirishwa jina ukaitwa " maisha Club" jamaa akatueleza jamani nyinyi kama " mabaga fresh" natamani niwape thamani nataka mtengeneze ngoma chini ya Usimamizi wangu. Akadai kuna siku nitawafuta siku maalumu ili niwakutanishe na producer wangu , siku ilipofika akawa ametucheki hewani kwenye simu akadai tuende zetu tukakutane nae pale mtaa wa posta akatueleza basi twezetuni kwa producer wangu kumbe jamaa anatupeleka kwa producer wake anaitwa " dj bonnie luv" kutoka mawingu studio ila kwa bahati mbaya siku hiyo tulifika pale mawingu studio kuna wizi umefanyika dj bonnie luv akadai kwamba hapa kuna majambazi yamekuja katika studio yangu kuna baadhi ya vifaa vya studio vimeimbiwa na majambazi..
Ndio producer dj bonnie luv akabadili maamuzi na kuamua kutupeleka kwa rafiki yake wa karibu paul Mathew " p funk majani" maana ile kazi kufanyika katika studio za Mawingu Studio imeshindikana kutokana na wizi uliokuwa umefanyika katika studio yake.
Nae dj bonnie luv hakuwa hana hiyana akampa majani ile project kwa p funk majani ebu fanya kazi na hawa jamaa wanaitwa " mabaga fresh " na boss yao huyu hapa sema nao..
Ndio p funk majani akatupeleka bamaga kule mwenge ndio tukarekodi nyimbo inaitwa " mtulize kabla hajakutuliza" tukiwa tumemshirikisha msanii juma nature..
Hapa tuweke mambo sawa original version ya " mtulize " tulifanya na producer wa dudu baba anaitwa dj Honey tulifanyia kule ghorofani katika ghorofa la kiwanda cha Cement twiga cement " wazo hill"
Lakini rmx ndio ilifanywa na P funk majani nyimbo inaitwa " mtulize kabla hajakutuliza" tukimshirikisha juma nature..
Juma nature tulimtorosha Darasani , kama nilivyokueleza hapo awali mimi nilikuwa nakaa kigongo kule kinondoni lakini jb mkuu wa majaji alikuwa anakaa mwembe yanga chuo cha bandari , Chuo cha mandari mimi dj snoks na jb mkuu wa majaji hapo chuo cha mandari tulipafanya kama ndio makutanio yetu ( masikani)
Kwa hiyo pale yalikuwa yana kutania makundi mengi ya muziki enzi hizo. Maana enzi washkaji wengi hasa wasanii kutoka temeke na makundi mengine ya muziki yalikuwa yanakutana pale ..
Kama vile.
Gangwe mobb
Juma nature
Dolo
Live with purpose ( lwp)
Gwm ( Gangster with Matatizo)
Zig zag Crew
Ndio ikapelekea kupatikana jina la " koo la walumedago "
Na sisi wakati tuna rekodi hiyo nyimbo ya " mtulize kabla hajakutuliza" pale Bongo Record tulimkuta producer P funk majani bado wa moto kwa maana P funk majani ndio alikuwa ametoka masomoni huko ughaibuni nchini uholanzi kwa baba yake mzazi na mama yake mzazi P funk majani ni mtu wa Tanga ...
Kipindi hicho tuna mshirikisha juma nature ,p funk majani alituomba sisi tumuachie ila sisi tukamueleza P funk majani kwamba huyu dogo juma nature na Rafiki yake Dolo wana kundi lao linaitwa "F.S.G" ( full school Gangster) P funk majani akawa hataki kumuacha juma nature .
Sisi kama ma brother zake na juma nature tukamueleza ndugu yetu juma nature tunakuomba ukae na huyu jamaa producer p Funk majani na shida iliokeseka zaidi pale tulipo maliza kurekodi ile nyimbo ya " mtulize kabla hajakutuliza " iliposikaka kwa wadau wengine wa muziki wakiwemo " Clouds fm " kipindi hicho marehemu Ruge mutahaba anamtafuta pia juma nature ili aweze kumsaini katika label yake inaitwa " smoth vibe"
Sisi tukamueleza juma nature dogo kuwa makini huku kwa Ruge mutahaba " Clouds fm" ( smoth vibe) utapa promo lakini kwa p funk majani pale studio Bongo Record ni jikoni
Huku Bongo Record studio ndio kila kitu lakini huko Smoth vibe na Clouds fm wanaweza kuacha kucheza ngoma zako kwa hiyo tuna kushauri wewe baki chini ya Usimamizi wa p funk majani " Bongo Records label..
Ndio juma nature akarekodi kwa p funk majani Album yake ya kwanza inaitwa " Ugali" ..
Sisi kama mabaga fresh akaja jamaa moja anaitwa Khalifasi mmliki wa maduka ya nguo za special na maduka ya television na Radio akawa ametueleza kwamba amependa nyimbo yetu ya " mtulize kabla hajakutuliza " tukiwa tumemshirikisha msanii juma nature akawa ametueleza kwamba hata kama tukiwa na shida yoyote tusisute kumtafuta anaweza kutupa Support kadri awezo kutupa Support sisi mabaga fresh..
Ndio maana hata jb mkuu wa majaji kwenye mtulize anamtaja jamaa khalifasi kupitia ushairi wake.
" Brother khalifasi kama una chochote kitu wanao tucheki tuna lost "
Itaendelea ..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202