bissmark marktosh
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 233
- 47
Toka enzi za Uhuru wa tanganyika kutoka kwa wakoloni wa kiingereza chini ya utawala wa malkia tukiwa na chama chetu cha tanu chini ya mwavuli wa mwalimu nyerere tukaja na asp chini ya mapinduzi ya kungoa utawala wa kisultani na kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar na kuwa Tanzania toka wakati huo hadi mwalimu kukabidhi kijiti kwa mzee wetu mwinyi badala ya tanu wakaja na ccm chama kikongwe kuliko vyama vyote barani Africa achilia mbali ZANU pf ya mugabe ,Tanzania imepita katika nyakati tofauti za kiuchumi kisiasa na kijamii na ktk Mapito haya hakuna asiyejua Tanzania ya Leo cyo ile ya mwalimu nyerere na baba wa taifa hili nchi hii chini ya chama tawala kikiongozwa na viongozi wetu wasio na uzalendo kwa taifa hili wametufikisha hapa tulipo rushwa kila kona umaskini umetamalaki ,Huduma za kijamii hakuna huku watawala wetu wakijinasibu kufanya mambo makubwa kwa taifa letu wasio na macho sasa wameona na viziwi nao sasa wanasiki uongo wenu na wenye kufahamu nao wamekuwa nguzo ya kuelimisha wengine wapate ufahamu na sasa imetimia watanzania kwa upendo na amani yao sasa wanasema imeosha wanahitaji mabadiliko na mabadiliko haya yawe chanya au hasi wao hawataki kujua wanachotaka mabadiliko mabadiliko×100000000.