It is due to Hormonal coordinationHivi ni kwa nini mwanamke anapokuwa mjamzito huwaga ana matatizo kupita kiasi.mfano anaweza Mchukia mumewe.kula vyakula visivyoeleweka mfano udongo;panador na vitu vingine kama hivyo
Umeeleweka sanakuna mabadiliko ya hormones nyengine zinapanda nyengine zinashuka almradi kiumbe kikue vyema, hii inaweza kufanya chuki na hasira kuongezeka, mvuto kupungua au kuongezeka na mambo mengine kama hayo.