MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
- kubadili namba ya simu.
- kufuta namba zote ambazo nilizisevu lakini haziwahi kunibipu, kunipigia na kunitumia sms.
- kuacha rasmi kupiga " punyeto ".
- kujiuzuru rasmi kupenda kupiga " chabo " kwa wapangaji wenzangu na nyumba za kulala wageni.
- kuwa mbea kupita kiasi hata kwa mambo yasiyonihusu.
- kutoshabikia tena klabu ya " liverpool " na " simba " kwani zimenisababishia sana ugonjwa wa moyo.
- kuwa mchangiaji mwenye nidhamu jamii forums ambaye nitakuwa mfano wa kuigwa kwa members wote.
karibu na wewe mpendwa member uweke maazimio yako hapa tukielekea kuumaliza huku mwaka wa 2015. mbarikiwe!