Maaskofu watema 'cheche' Pasaka

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Umoja wa Makanisa ya Kikristo umesema kanisa ni chombo chenye mamlaka ya Mungu katika kukosoa, kukemea na kuelimisha waumini wake na kamwe hakiwezi kunyamazishwa na mtu yoyote.

Akizungumza katika Ibada ya ya Ijumaa Kuu, mwenyekiti wa Umoja huo, Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu alisema kanisa limepewa mamlaka ya kuhubiri upendo na amani, hivyo hakuna atakayeweza kulinyima kusema.
(...inaendelea ukurasa wa 8' gazeti la NIPASHE)

Wakati huohuo katika gazeti la MTANZANIA, limepambwa na kichwa cha habari kisemacho "UJUMBE MZITO WA VIONGOZI WA DINI IJUMAA KUU, na gazeti la MWANANCHI lina kichwa habari kisemacho MSIWACHAGUE VIONGOZI WATAKAOWAFANYA MUISHI KWA KUOGOPA.

THE CITIZEN linasema "Faith without good works is dead, warns Bishop.
 

Attachments

  • IMG_20180331_075232.jpg
    159.5 KB · Views: 45
  • IMG_20180331_075638.jpg
    186.2 KB · Views: 43
  • IMG_20180331_075535.jpg
    149.8 KB · Views: 42
  • IMG_20180331_075320.jpg
    179.5 KB · Views: 59
  • IMG_20180331_075258.jpg
    175 KB · Views: 45
  • IMG_20180331_075346.jpg
    145.4 KB · Views: 45
Wameshajenga viwanda vya madawa au wanahubiri tu
 
Haya, Pengo aje tena aseme hawatambui hao maaskofu, kama watu wanaona wanaelekea GIZANI kwann wasiseme?? Ila nimeipenda hii ya gazeti la mwananchi "MSIWACHAGUE VIONGOZI WATAKAOWAFANYA MUISHI KWA KUOGOPA" Mimi ni jiwe. ...Our leader, is he a non living? ? Kiukweli nilishitushwa na kauli hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…