Maaskofu na fedha ya ESCROW

umesoma shule ipi?

ni kanisa halina usafi au askofu kilaini ambae yeye ni sehem tu ya kanisa kama taasisi? Mnajua wakat mnakoment muwe mnatumia logic.
 
Kilaini kazi yake ni KUPOKEA sijaona mahali alipoenda kinyume na shunghuli zake za kikanisa. Hongera kilaini kwa kazi yako ya KUPOKEA

walioiba wakamatwe waswekwe ndani.

Askofu kilaini sio Mungu hata ajue hizo pesa ni za wizi.
 
Twende taratibu. Unaweza kupata maono kuwa kampe fedha mchungaji wako au padre wako na si lazima kuiweka kwenye akaunti ya kanisa.
 
kwani hao maaskofu wameiba wapi hizo pesa mnazodai warudishe?
Wewe mgumu kelewa na mwepesi kusahau,
Hoja ni uhalali/usafi wa Pesa waliyopewa na dhumuni liliopelekea wao kupokea Pesa hiyo.
 
misikitini mbona hazijapelekwa hizi fedha,au masheikh wamezikataa?
 

Ruge angeandika hundi kwa kanisa katoliki jimbo la Bukoba, huko wangepeleka hiyo hundi kwenye benki yao, hiyo benki ingepeleka hiyo hundi kwenye clearance house. Huo ndo utaratibu wa mabenki.

Yaani hata majibu yanayotolewa na watuhumiwa ni kwasababu hawajui banking operations wala money laundering. Yaani wangejua haya wangenyamaza kimya maana hii pesa na mgawanyo wake ni wizi from credo to grave
 
Waislam wakilalamika mfumo cristu watu wanawaona wadin wanawakamata masheh na kuwa sweka rumande niya yao kuna mambo mengi yapo kiujanjajanja bahati huu ni wizi ndomana leo limefumuka
 
Hivi unadhani kwa taratiu za kanisa zilivyo Kilaini atapona? Kumbuka kupeleka Bukoba ilikuwa ni scandal ya kujishirikisha kwke kwenye ambo ya kisiasa kiasi cha kuikwaza serikali sembuse na hili!

Kumbuka huwa hakuna sheria ya kumvua askofu uaskofu wake. Wanaweza muondolea mamlaka au shughuli za kufanya lakini uaskofu hauvuliwi.

Biblia haisemi hivyo, ila wao wamejiwekea huo utaratibu.
 
umesoma shule ipi?

ni kanisa halina usafi au askofu kilaini ambae yeye ni sehem tu ya kanisa kama taasisi? Mnajua wakat mnakoment muwe mnatumia logic.

Kwani hii pesa ya ESCROW, CCM imeiba kama chama au ni watu binafsi?
 

Tatizo la hii benki yetu toka inafunguliwa imekuwa inaajiri watu cheap na kuwalipa ujira finyu. Katika issue za money laundering unaambiwa yoou should know your client well. Wakati akaunti inafunguliwa kweli walifanya due diligence. Lakini hii transaction ya TISS ilikuwa ni wazi kwamba ni money laundering. Kampuni I awalipa maaskofu, mawaziri, wabunge, padri au mchungaji, majaji, kwa shughuli gani? Kumbukeni wakati wa EPA benki ya Backlays ilikataa kufanya malipo kama haya. Backlays waliandika barua kwenda Benki kuu wakisema mbona hii transaction Ina element za money laundering? BoT ikawajibu na kusema hii siyo money laundering. Backlays wakasema sisi tumeiona ni money laundering na wakakataa kufanya ile transaction. Wale wezi kuona vile wakapeleka benki ambayo MD wake ni mtu wa dili. Yaliyotokea wote tunajua.

Mkombozi watambue athari za hili jambo kwenye soko la hisa nakwa depositers wao. Wanapotaka kuandika taarifa kwa umma kuhusu ili, watafute ushauri nje ya benki yao. Hiki walicho eleza hakijitoshelezi vizuri.
 

usidandie mada kama hujui nn kilichojiri.ww si mkatoliki labda baniani.kilaini amepewa fedha na rugemalila na fedha hiyo ni halali na malipo yake rugemalila.amezilipia kodi.pia ana uhuru wa kumgawia yeyote hili halina mjadala hapa kanisa limechafuliwaje?kuwa makini kama unahitaji kuchangia mada labda kama una wivu sababu umezikosa
 
Hela waliyopewa maaskofu ni takribani milioni 160. Hiyo ni hela ndogo sana ambayo pengine hata wakiambiwa watairudisha hapo hapo. Tukumbuke Singasinga amechota bilioni 306
hebu waelezee
maana Ruge na kodi kalipa
sasa wanahabari wa michezo
maPOLISI .............. nao kina KOVA wakalipe kodi

fedha ya RUGE ni halali hata km katika hisa za IPTL / PAO kina Kilaini, Tibaijuka au Katoliki waliongezea HISA sasa zimezaa
tungeangalia huyo Habinde Sigh
dola 300,000 ZIZAE MABILIONI?
Kanisa Katoliki lirudishe hela za wakipa kodi. Tuache kumumunya maneno hapa.
Mimi ni Mkatoliki wa kufa..ila kwa hili hawa Maaskofu lazima wachukuliwe hatua stahiki..

Bunge linataka akamatwe mara moja na kufikishwa Mahakamani Kova ataweza
 
Hahaha, Pole sana mweheshimiwa, Linaitwa kanisa katoliki la Roma, tafuta maana ya Katoliki, pia waanzilishi wake ni mitume, lina zaidi ya miaka 2000 tangu lianzishwe na waanzilishi wake ni mitume wakiongozwa na Simoni Petro(mwamba) kwahiyo waliwezi kutetereka wala kuyumbisha wala kuchafuliwa na wachangiaji humu jamii forums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…