Maaskofu na fedha ya ESCROW

pesa nyingi hivo za kubebwa kwenye magunia...kuna maana gani kubeba mzigo wote huo wakati mabank yapo na kutransact haichukui hata nusu SAA
unazipush tu then unatembea mwepesiii...Fumbua macho kaka.
Milioni 40 sihitaji hata kubeba mfuko wa rambo, suruali tu inatosha
 
Mwizi Kilaini kaandika kwenye mitandao bila aibu kuwa hii si mara ya kwanza kupokea pesa kwa njia hizo. Achunguzwe critically.
 
 
 
Huyo Gavana wa BoT aliyezitoa hizo fedha hajaguswa, nani ataguswa kwa kupokea?
Hilo ni somo na mjadal mwingine, Uliopo sasa waliopokea fedha kiutata na tunaowafahamu kwa ushahidi washughulikiwe, Period.
 
Mwizi Kilaini kaandika kwenye mitandao bila aibu kuwa hii si mara ya kwanza kupokea pesa kwa njia hizo. Achunguzwe critically.

Naomba niongezee apekenyuliwe, Kumbe ndio mchezo wao huu?
Hapa Kanisa linalo deni kubwa la maelezo kwa:
1.Waumini wa Kanisa Katoliki lenyewe, ingawa nasikia wanakawaida ya kutokuuliza na kuulizwa.
2.Waumini wa madhehebu mengine ya Kikristo
3.Waislam.
4.Wasiokuwa na dini wa jamii ya Wa-Tanzania.
5.Ulimwengu kwa ujumla kama wanataka watu wawe na imani nao.
 
Watanzania bwana. Mzizi mkuu umewashinda kuung'oa. Sasa mnaanza kuparamia kufyeka majani ya mti. Ng'oeni mzizi mkuu kwanza, hayo majani yatakauka tu automatically. Hebu mshughulikieni aliyegawa hizo pesa kwanza.

100 mkuu
 
yani Rc Kwa Sasa Hamna Tofauti Na Ccm Askof Wenu Wezi Tena Wale Waliokaribu Na Kadinali Benk Yenu Imetumiwa Kutakatisha Fedha Chafu Mnakuja Apa Ooh Kanisa Letu Safi...Mnanukuu Vifungu Vya Bible Ili Viwape Unafuu Nyie Kubalini Kanisa Limepakwa Matope Ili Kulisafisha Kamateni Wezi Pelekeni Mahakamani Mkinyamaza Ccm Wakwanza Kwa Wizi Wapili Roman Catholic
 

Kweli hawa wenye dhamana ya kuongoza waumini ndo wamekuwa mfano mbovu, maandiko yanasema wanafunzi wangu watajulikana kwa mfano na matendo yao mema. Inakuwaje kiongozi upewe fedha yote hiyo tena kinyemela! Kwa kifupi hawa ndo walounganisha fedha ile kutolewa ktk bank ya Mkombozi na walicholipwa ni mgao wao wa kufanikisha utoaji wa fedha hizo haramu. Na wala halihitaji akili ya juu sana kutambua hili. Mimi ni RC na zijapendezwa kabisa na suala hili.
 
Fisadi Lowasa huwa anatoa misaada in public tena kwa institutions japo huwa hasemi ni marafiki gani wamechanga.Ruge amuige Lowasa sio kutoa kimya kimya
 
[




QUOTE=Spina;11269237]Kosa la jinai la maaskofu hawa ni kukwepa kodi. Mapato yoyote apatayo mtu lazima yalipiwe income tax to the tine of 30%[/QUOTE]

Hivi tangu lini sadaka ikatozwa kodi?
 
Hakuna cha ajabu hapo..Mfumo kristo unafanya kazi.
 
mwizi ni mwizi tu bila kujali kaiba kiasi gani.
Na, hapa kanisa kama taasisi makini linawajibu wa kutoa maelezo.
Kikubwa si kurudisha walichoiba tu, bali pamoja na kuburuzwa mahakamani.

kwani hao maaskofu wameiba wapi hizo pesa mnazodai warudishe?
 
Mimi ni Mkatoliki wa kufa..ila kwa hili hawa Maaskofu lazima wachukuliwe hatua stahiki..

Hivi unadhani kwa taratiu za kanisa zilivyo Kilaini atapona? Kumbuka kupeleka Bukoba ilikuwa ni scandal ya kujishirikisha kwke kwenye ambo ya kisiasa kiasi cha kuikwaza serikali sembuse na hili!
 

Binafsi sina imani kabisa na kanisa katoliki...Bora kuabudu chini ya pango kuliko kanisani.
 
Binafsi sina imani kabisa na kanisa katoliki...Bora kuabudu chini ya pango kuliko kanisani.

Nawe ni punguani tuu..kuna uhusiano gani wa Imani na Kanisa lako kiasi cha kufanya usiende Kanisa angali ni watu wachache ambao wataubeba mzigo wao wenyewe...

Si dhani kama wewe ni Mkatoliki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…