Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
Anapendekeza wasaidizi wasio na maadili au wasaidizi wake wanakosa maadili wakiwa tayari wameshapendekezwa?... Je Pengo kwanini anapendekeza wasaidizi wenye kasoro kimaadili?
Hela waliyopewa maaskofu ni takribani milioni 160. Hiyo ni hela ndogo sana ambayo pengine hata wakiambiwa watairudisha hapo hapo. Tukumbuke Singasinga amechota bilioni 306Kanisa Katoliki lirudishe hela za wakipa kodi. Tuache kumumunya maneno hapa.
Ili mtu afunguliwe mashtaka ya jinai, lazima kuwepo kosa la jinai. Ni vyema ukaisaidia mahakama kuonyesha kosa la jinai lililofanyika hapo....
Bunge katika mjadala wake, litamke waziwazi kwamba hawa maaskofu wafunguliwe mashtaka ya jinai. ...
Anapendekeza wasaidizi wasio na maadili au wasaidizi wake wanakosa maadili wakiwa tayari wameshapendekezwa?
Kanisa Katoliki lirudishe hela za wakipa kodi. Tuache kumumunya maneno hapa.
Kanisa langu Katoliki limechafuka na kuonesha mifumo yake imefeli kutuondolea huu upuuzi.......tunasubiri hatua kali na si ujanja ujanja.......
Kanisa langu Katoliki limechafuka na kuonesha mifumo yake imefeli kutuondolea huu upuuzi.......tunasubiri hatua kali na si ujanja ujanja.......
Ili mtu afunguliwe mashtaka ya jinai, lazima kuwepo kosa la jinai. Ni vyema ukaisaidia mahakama kuonyesha kosa la jinai lililofanyika hapo.
Halafu wait a minute, hivi JK hawezi kukabidhiwa hela aifikishe kwenye taasisi fulani, say ya watoto yatima, bila kulazimika kuweka hela kwenye akaunti ya kituo hicho?
Hela waliyopewa maaskofu ni takribani milioni 160. Hiyo ni hela ndogo sana ambayo pengine hata wakiambiwa watairudisha hapo hapo. Tukumbuke Singasinga amechota bilioni 306