mrudishe hela yenu ipi?..mmerudishaje?Mkuu hao wenye miaka 20's wamefanya nini? Imagine kama sisi Simba SC tusharudisha hela yetu.. Vipi kuhusu Rwanda ambao wameanza kupata Huduma take tangu mwaka 2014?
Hela ya usajili Mkuu.. Kwa magoli anayofunga, tungekua na njaa kama mtaa wa 2, tungeenda kuchukua mkopo bank, na hayo magoli ikawa dhamana.. Au haya magoli yangekua ni guarantee tosha ya kupata wadhamini, kama tungetaka jezi zetu zingechafuka nembo mbali mbali.mrudishe hela yenu ipi?..mmerudishaje?
Ndoto za mchana hizoMkuu hao wenye miaka 20's wamefanya nini? Imagine kama sisi Simba SC tusharudisha hela yetu.. Vipi kuhusu Rwanda ambao wameanza kupata Huduma take tangu mwaka 2014?
mtaa wa pili mtawakoma..mnawachukulia poaHela ya usajili Mkuu.. Kwa magoli anayofunga, tungekua na njaa kama mtaa wa 2, tungeenda kuchukua mkopo bank, na hayo magoli ikawa dhamana.. Au haya magoli yangekua ni guarantee tosha ya kupata wadhamini, kama tungetaka jezi zetu zingechafuka nembo mbali mbali.
hahahaahah maandamano ya soka yamuondoe Kagame mkuu hahahahaha alafu usiseme simba na ndala hapo sema mkia na ndala hamna timu hapo....kungekuwa na timu taifa stars ingekuwa mbali
hahahahaa mkuu wangemng'oa ingesaidia tuHahaha.. Huwezi amini Mkuu ilibakia kidogo jamaa ang'oke.
42 huyo.sasa jamaa si ana miaka 37!!..hawatofaidi sana kipaji chake
Hapana hyo ni 2008 mkuu42 huyo.